Kupitia ukurasa huu utapata, msimamo, matokeo ya michezo ya kundi C dondoo kabla, baada na wakati wa mchezo huo, Tabiri matokeo pia katika ukurasa huu.
Pia moja kwa moja kupitia akaunti yetu ya twitter kwa hashtagg #PamojaTaifaStars unaweza pata zaidi. au Ukurasa wa Taifa Stars
Tiketi: Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa, Sokoni Kariakoo, mgahawa wa Steers ulioko mtaa wa Ohio/Samora, Oilcom Ubungo, Kituo cha Mafuta Buguruni, Dar Live Mbagala na BMM Salon iliyoko Sinza Madukani.
Viti | Bei ya tiketi | Idadi ya watazamaji |
Kijani | 5,000 | 19,648 |
Rangi ya bluu | 7,000 | 17,045 |
Rangi ya chungwa | 10,000 | 11,897 |
VIP C | 15,000 | 4,060 |
VIP B | 20,000 | 4,160 |
VIP A | 30,000 | 748 |
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
No comments:
Post a Comment