Soma hizi twitts zake
#1:Jamani Mwana FAtuma na team yake wanasema show ya Anaconda ni fundraising heee heeee heee. Limited es
#2Boss Director maji ya shingo, katuma vibaraka kuua soo na vibaraka
hawajui ukali wa moto wanaingia tu kichwa kichwa #FAtuma baby
#3:Yani nadeal na wewe leo tu, kesho narudi kwa Director / Boss wako. We
sio hadhi yangu dogo sana nakufunza adabu only 4 few hrs 2
#4:Wanadai sina fans, nategemea fans wa MwanaFAtuma, jana walikuwa wapi kumshangilia? #Kujipa moyo kwapunguza stress
#5:Natafuta kiki? he hee heee mbona kiki imejileta automatic? Nilitangaza tar 31 mkaletwa baadae ili mpate kiki nyabe nyie
#6:Kiki anaetafuta ni yule aliesaidiwa chorus akawa hawezi kupanda
Fiesta bila mimi analia, Leo analazimishiwa kiki mnanilaumu mimi..
Unaweza ukashea hii popote pale na wengine wafahamu kinachoendelea sasa hivi katika ukurasa wa twitter .com
Soma hizi twitts zake
#1:Jamani Mwana FAtuma na team yake wanasema show ya Anaconda ni fundraising heee heeee heee. Limited es
#2Boss Director maji ya shingo, katuma vibaraka kuua soo na vibaraka hawajui ukali wa moto wanaingia tu kichwa kichwa #FAtuma baby
#3:Yani nadeal na wewe leo tu, kesho narudi kwa Director / Boss wako. We sio hadhi yangu dogo sana nakufunza adabu only 4 few hrs 2
#4:Wanadai sina fans, nategemea fans wa MwanaFAtuma, jana walikuwa wapi kumshangilia? #Kujipa moyo kwapunguza stress
#5:Natafuta kiki? he hee heee mbona kiki imejileta automatic? Nilitangaza tar 31 mkaletwa baadae ili mpate kiki nyabe nyie
#6:Kiki anaetafuta ni yule aliesaidiwa chorus akawa hawezi kupanda Fiesta bila mimi analia, Leo analazimishiwa kiki mnanilaumu mimi..
Unaweza ukashea hii popote pale na wengine wafahamu kinachoendelea sasa hivi katika ukurasa wa twitter .com
No comments:
Post a Comment