Wednesday, 29 May 2013

maneno yake kala

SASA KAZI IMEANZA NAWAOMBA MSAADA WENU WA HALI NA MALI, MWAKA HUU NIMEFANIKIWA KUINGIA KWENYE CATEGORIES NNE ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS. SASA MUDA WA KUPIGA KURA UMEFIKA KUANZIA LEO NIPIGIE KURA ILI UNIWEZESHE KUSHINDA TUZO AMBAZO NAWANIA

No comments:

Post a Comment